06 Oct 2006 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Nani kaokota vyeti kwenye daladala?
 
2006-10-06 16:38:40
Na Mwandishi Wetu, Mikocheni

Wema Wilson, binti aliyehitimu masomo ya Chuo Kikuu mwaka huu, amesahau vyeti vyake halisi kwenye daladala na anaomba aliyeviokota kumrejeshea.

Akiongea kwenye ofisi za gazeti hili, Wema amesema vyeti hivyo ni vya kuhitimu kidato cha nne, cha sita katika Shule ya wasichana ya Weruweru pamoja na cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Amesema alisahau mfuko uliokuwa na vyeti hivyo kwenye daladala ya Posta-Mwenge au Mwenge-Tegeta juzi jioni.

Taarifa juu ya upotevu huo zimeripotiwa katika vituo mbalimbali vya polisi.

Ameomba yeyote aliyeona vyeti hivyo kuwasiliana na Mhariri wa gazeti hili na zawadi nono itatolewa.

  • SOURCE: Alasiri
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2005 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.