17 Oct 2006 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Mwanamume akutwa amekufa chumbani kwake
 
2006-10-17 14:56:39
Na Magret Simba, Temeke

Mtu mmoja amekutwa amekufa na mwili wake ukiwa umeharibika vibaya chumbani kwake maeneo ya Kigamboni Tungi Maji, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Temeke Emmanuel Kandihabi amemtaja mtu huyo kuwa ni Shafii Athumani, 50.

Kamanda Kandihabi amesema mtu huyo kabla ya kufa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Kifua Kikuu,TB.

Amesema Kamanda Kandihabi kuwa baada ya mwili wa marehemu kufanyiwa uchunguzi na daktari wa Kituo cha Afya Kigamboni, umezikwa na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

  • SOURCE: Alasiri
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2005 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.