24 Oct 2006 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

China imewaathibu maafisa wake wa serikali
 
2006-10-24 14:08:06
Na EAR Habari

China imewaathibu maafisa zaidi ya elfu 17 na mia 5 wa serikali, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu kuhusiana na masuala ya rushwa.

Kwa mujibu wa shirika la habari la Xinhua, idadi hiyo imekuja kipindi ambacho jimbo la Shanghai linakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Mpaka sasa maafisa wawili wamekuwa watuhumiwa wakuu wa vitndo vya rushwa hiyo, na serikali ya nhi hiyo inaendelea na uchunguzi.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2005 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.