24 Mar 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Marekani kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa Tanzania
 
2008-03-24 16:53:55
Na EAR Habari

Marekani ina mpago wa kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa Tanzania, yanayolenga kuwajengea uwezo wa kufanya biashara na nchi hiyo kupitia soko la Agoa.

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Tim Cleacke amesema umuhimu wa kutoa mafunzo hayo unatokana na nia ya serikali ya nchi yake ya kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kukuza uchumi na kujikwamua na umaskini.

Alikuwa akizungumza na baadhi ya wafanyabiasha wa mkoa Arusha katika mkutano ulioandaliwa na chama cha wafanyabiashara wa mkoa huo TCCIA.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.