04 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Kunatofauti kubwa ya wanafunzi wa kike na wakiume wanaufadhiliwa na serikali ya Uganda
 
2008-05-04 23:14:11
Na EAR Habari

Orodha ya wanafunzi wa chuo Kikuu wanaodhamianiwa na serikali nchini Uganda, imeonyesha tofauti kubwa kati ya wanafunzi wanawake na wanaume nchini humo.

Imefahamika kuwa kati ya wanafunzi wavulana na wasichana elfu tatu nchini humo, wanafunzi mia 9na elfu 40 tu kati yao ndio wasichana.

Pia orodha hiyo imeonyesha kuwa, wanafunzi wanaume wameendelea kutawala masomo ya sayansi wakati wanafunzi wasichana wamekujazana kati maosomo mchepuo wa Biashara.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.