|
Maafisa wanapingana na ugaidi Kenya wachukua tahadhari ya hali ya juu
2008-05-04 23:14:56
Na EAR Habari
Maafisa wanaopinga ugaidi nchini Kenya, wako katika tahadhari ya hali ya juu, kufuatia tukio la kuuawa muislam anayeaminika kuhusiana na kiongozi wa kundi la Al Qaeda nchini Somalia wiki iliyopita.
Taarifa za vyombo vya habari vya ndani zimesema, upo wasiwasi kuwa magaidi waliopon katika sero za wauaji wa Al Qaaeda zilipo Somalia, wanaweza kulipiza kisasi cha mauaji hayo kwa kuwafanyia mashambulizi wa Amerika waliopo Marekani.
|