15 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Vikosi vya askari wa Ethiopia vyasambaza chakula walichonunua wenyewe
 
2008-05-15 17:17:57
Na EAR Habari

Vikosi vya askari wa Ethiopia walioko katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu, wamesambaza msaada wa chakula walichonunua wenyewe kwa mishahara yao.

Karibia magunia mia 4 ya mtama yamekabidhiwa kwa watu wasiopungua mia 5 katika wilaya ya kusini ya Baynile.

Umoja wa Matifa umesema zaidi ya theluthi ya raia wa Somalia wanategemea msaada kutoka nje, na kuwa wale masikini waliopo mijini wanapata shida kupata chakula.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.