15 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Sheria mpya za kazi zaleta tija nchini Tanzania
 
2008-05-15 17:18:23
Na EAR Habari

Utekelezaji wa sheria mpya za kazi nchini Tanzania, umepunguza muda uliokuwa unatumika kushughulikia migogoro inayojitokeza sehemu za kazi, na hivyo kuongeza tija makazini.

Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Bibi Edin Mangesho, amesema sheria hizo zinatoa siku 30 kwa wasuluhishi kutoa ufumbuzi wa haraka wa migogoro inayojitokeza sehemu za kazi.

Amesema migogoro sehemu za kazi imepungua, tangu utekelezaji wa sheria hizo ulipoanza takriban miaka miwili na nusu iliyopita.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.