15 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Watumishi wa umma Kenya wapokea barua za kuchangia watu waliotawanyika
 
2008-05-15 17:18:48
Na EAR Habari

Watumishi wa umma nchini Kenya wamepokea barua zinazowataka kuchangia mfuko uliozinduliwa hivi karibuni, wa kuwasaidia kurejea kwenye makazi yao watu waliotawanyika.

Mkuu wa Huduma za Jamii Francis Muthaura, amewaandikia makatibu wakuu wote akiwataka waombe michango kutoka kwa wafanyakazi wao, kwa ajili ya mfuko huo unaolenga kukusanya bilioni 30, za kuwasaidia wahanga wa vurugu zilizozuka nchini humo mara baada ya uchaguzi.

Baadhia ya barua hizo zimeainisha kabisa kiwango cha chini mtu anachotakiwa kuchangia, kutokana na kazi yake na cheo alicho nacho.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.