|
Serikali ya Uganda imetangaza bei za manunuzi ya bidhaa
2008-05-16 15:33:11
Na EAR Habari
Serikali ya Uganda imetangaza bei za manunuzi ya bidhaa mbali mbali ambazo kwa sasa zinaendelea kupanda bei kutokana na uhaba ambao umejitokeza.
Mamlaka ya ununuzi na usimamizi na uangalizi wa mali za umma PPDA imeorodhesha bnidhaa mbali mbali zikiandamana na bei sahihi kwa wasambazaji na huduma zinazotolewa.
Orodha hiyo imetolerwa kwa kwa maafisa wanunuzi na wote wanaohusika na manunuzi na kwa njia ya kupia tenda.
|