|
Norconsult inafanya uchunguzi wa vyanzo vipya vya maji
2006-11-01 11:28:40
Na ITV Habari
Kampuni ya norconsult inafanya uchunguzi wa vyanzo vipya vya maji kwa ajili ya jiji la Dar es Salaam.
Akijibu swali la mbunge wa Ilala Mh. Mussa Azan Zungu naibu waziri wa maji Mh. Shamsa Mwangunga amesema tatizola uhaba wa maji kw ajiji la Dar es Salaam litakwisha baada ya kukamilika mradi kabambe wa kupanua na kukarabati mfumo wa usambazaji maji safi nauondoaji maji taka jijini mwishoni mwa mwaka 2008 kwa garama ya shilingi bilioni 164.
|