08 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Sportsnews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Wachezaji wa gofu kuchuana
 
2008-05-08 14:32:43
By ITV Habari

Wachezaji zaidi ya arobaini wa mchezo wa gofu kutoka kiwanda cha sukari cha TPC Moshi wengine kutoka arusha na wenyeji Dar es Salaam kesho wanaingia kwenye uwanja wa gymkhana kupambana vikali katika mchezo huo.

Kocha msaidizi wa mchezo huo Stanley Sanga amesema mchezo huo ni wa kirafiki ambapo washindi watapambana na wachezaji wa kulipwa katika michuano itakayoandaliwa katika siku za baadaye.

  • SOURCE: ITV
TODAY
-----------------------------------------------
Editorial
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.