14 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Sportsnews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Mshindi wa Tuzo Point akabidhiwa hundi yake
 
2008-05-14 15:01:12
By ITV Habari

Mshindi wa droo kubwa ya programu ya Tuzo Point iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom amekabidhiwa zawadi yake ya shilingi milioni 40.

Mshindi huyo mchungaji fanuel msengi amekabidhiwa kitita hicho na mkuu wa kanda ya ziwa ya Vodacom Tanzania Stephen Kingu nyumbani kwake katika kijiji cha Mwanzugi wilaya ya Igunga mkoani Tabora baada ya kutangazwa mshindi katika droo iliyochezwa mwezi uliopita.

  • SOURCE: ITV
TODAY
-----------------------------------------------
Editorial
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.