|
Walemavu kushiriki paraolimpiki China
2008-05-15 10:56:24
By ITV Habari
Katika hatua nyingine wachezaji wa timu ya watu wenye ulemavu wameonesha viwango vizuri vya kuwawezesha kushiriki katika michezo ya paraolimpiki itakayofanyika nchini China mwaka huu.
Akizungumza wakati wa mazoezi kocha wa timu hiyo Klinus Namajojo amesema pamoja na michezo hiyo wachezji hao wataenadelea kujinoa kwa ajili ya mashidnao mbali mbali yatakayofanyika mwaka huu ili kuhakikisha wachezaji hao wanakuwa na mazoezi ya kutosha.
|