|
Walioshiriki kongamano la kimataifa la kilimo na viwanda wamepata mafnikio
2008-05-16 14:23:47
Na ITV Habari
Wafanya biasahara wa hapa nchini ambao walishiriki kongamano la kimataifa la kilimo na viwanda vya usindikaji wa mwaka 2008 uliyomalizika hivi karibuni wamepata fursa ya kutanua masoko ya bidhaa zao nje ya nchi.
Wadau wa maendeleo wa kimataifa pamoja na uongozi wa kituo cha uwekezaji cha hapa nchini wamesema watanzania 53 walioshiriki mkutano huo wataweza kushiriki vyema biashara ndani ya Afrika na nje baada ya kushiriki mkutano huo uliowajumuisha na wenzao 483.
|