16 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Wafanyabiashara 60 wa Tanzania kufanya ziara A. Mashariki
 
2008-05-16 14:25:02
Na ITV Habari

Ujumbe wa wafanyabiashara 60 kutoka Tanzania unatarajia kufanya ziara za kibiashara katika nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka huu kwa ajili ya kujifunza.

Waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Diodorus Kamala amesema ziara hiyo itasaidia wafanyabiashara hao kutambua soko la Afrika Mashariki kupanua biashara ya Tanzania pamoja na kufahamu njia zinazotumiwa na watanzania wenzao kuvutia uwekezaji na kuwataka wafanya biashara wa tanzania kuchangamkia fursa hiyo na kuwa tayari kuthubutu katika biashara.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.