16 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Watu wenye ulemavu wahamasishwe kwenye maonesho ya teknolojia ya mawasilino
 
2008-05-16 14:34:12
Na ITV Habari

Wanafunzi wa vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamewataka waandaaji wa maonyesho ya teknolojia ya mawasilino kuhakikisha wanajitahidi kuhamasisha watu wenye ulemavu kuja kupata elimu mbalimbali ya teknolojia ya sasa ili waweze kunufaika na maonesho hayo.

Wakizumgumza na ITV wanafunzi wa chuo cha IFM Bw. Nehemia Mkene amesema maonyesho hayo ya teknolojia ya mawasilano yanapaswa kuhakikisha yanawaangalia watu wenye ulemavu ili waweze kufaidika.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.