18 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Kiswahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Kitaifa
 

Baada ya soo la kichwa: Miujiza mipya yazuka!
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Siku chache tu baada ya kijana Ramadhani Musa wa Jijini kufikishwa kortini na mzazi wake akikabiliwa na lile soo la kukutwa na kichwa cha binadamu miujiza...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 14

Maslahi duni yawakimbiza wahandisi...
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Serikali imeshauriwa kuinua pato la wahandisi nchini ili hatimaye waweze kuwavutia kwa vijana wengi kujiunga na fani hiyo ambayo kwa sasa ina uhaba wa wafanyakazi.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 3

Trafiki Dar atekwa
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Katika hali ya kushangaza, askari wa usalama barabarani wa Jijini Dar es Salaam almaarufu kama trafiki, ametekwa nyara.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 2

Malori `vimeo` Dar yapigwa stop
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Polisi Jijini wameyanasa malori 35 mabovu na yaliyo katika hali mbaya huku wakiyafutia leseni mawili baada ya kubainika kuwa yenyewe hayafai tena kutembea barabarani.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 5

`Tatizo la Wazanzibari ni kutoaminiana`
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Makete, Dk. Hassy Kitine amesema kuwa matatizo ya kisiasa visiwani Zanzibar yanasababishwa na hali ya kutoaminiana baina ya vyama viwili vikuu vya CCM na CUF.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 1

Mfanyabiashara anayedaiwa kununua vitu vya wizi Mbeya atiwa mbaroni
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Mfanyabiashara Richard Komba, 32, mkazi wa Jijini Mbeya anashikiliwa na Polisi mkoani humo baada ya kudaiwa kupatikana na vitu kibao vya wizi uliotokea katika maeneo mbalimbali.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 22

Mali za viongozi wa Mabatini SACCOS kupigwa mnada
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Mali za viongozi wawili wa Chama cha Ushirika, Akiba na Mikopo cha Mabatini SACCOS kilichoko Tandika wilaya ya Temeke, zimekamatwa kwa ajili ya kuzipiga bei kutokana na kushindwa kwao kurejesha mkopo waliokopa kutoka kwenye...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 35

Mwili wa mwanaume Dar waokotwa mtoni
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Shaaban Abdallah, 30, amekutwa amefariki dunia kwenye mto wa maji ya Chai Jijini.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 8

Wakulima wa kijiji cha Malula wagoma kutoa ardhi yao kwa serikali
Posted Sat, May,17 2008
Source Radio One
Wakulima wa kijiji cha Malula wilaya ya Arumeru wamegoma kutoa ardhi yao kwa serikali kwa ajili ya kujenga ukanda maalum wa kibishara na uchumi-EPZ wakidai kuwa hawajashirikishwa.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 95

Polisi watoza watumiaji barabara bila kutoa stakabadhi
Posted Sat, May,17 2008
Source Radio One
Polisi katika kituo cha Borega kilicho katika mpaka wa Tanzania na Kenya wilayani Tarime wanadaiwa kutoza kati ya shilingi elfu tano na elfu kumi kwa kila gari linalotumia barabara hiyo bila ya kutoa stakabadhi.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 55

   
Biashara
 

Wakulima kuneemeka
Posted Sat, May,17 2008
Source Alasiri
Huenda wakulima wakaanza kuneemeka mara baada ya Serikali, kukamilisha ufumbuzi wa tatizo la masoko ya mazao yao.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 13

Wafanyabiashara 60 wa Tanzania kufanya ziara A. Mashariki
Posted Fri, May,16 2008
Source ITV
Ujumbe wa wafanyabiashara 60 kutoka Tanzania unatarajia kufanya ziara za kibiashara katika nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka huu kwa ajili ya kujifunza.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 86

Asilimia 10 ya wananchi wanatumia huduma za benki
Posted Fri, May,16 2008
Source ITV
Waziri wa nchi anayeshughulikia fedha na uchumi katika ofisi ya rais ya serikali ya mapinduzi Zanzibar Dr. Mwinyi Makame amesema hadi sasa ni asilimai 10 ya wanachi...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 42

Walioshiriki kongamano la kimataifa la kilimo na viwanda wamepata mafnikio
Posted Fri, May,16 2008
Source ITV
Wafanya biasahara wa hapa nchini ambao walishiriki kongamano la kimataifa la kilimo na viwanda vya usindikaji wa mwaka 2008 uliyomalizika hivi karibuni wamepata fursa ya kutanua masoko ya bidhaa zao nje ya nchi.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 11

Tanzania huenda ikanufaika na mkutano wa 8 wa Leon Sullivan
Posted Thu, May,15 2008
Source ITV
Tanzania iwapo itatumia vema nafasi ya uenyeji wa mkutano wa nane wa Leon Sullivan huenda ikanufaika na miradi mbalimbali ya kiuchumi ikiwemo ile ya uzalishaji umeme, utalii na usindikaji kutoka kwa wafanyabiashara wawekezaji wa Marekani weusi.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 79

Kampuni ya ndege ya Precision Air kuongeza safari za ndege zake
Posted Thu, May,15 2008
Source ITV
Kampuni ya ndege ya Precision Air imesema itaongeza safari za ndege zake kutokana kuwepo kwa ndege mpya aina ya Boing 737 Dashj 300 iliyokodishwa kutoka nchini Ireland na kuanza kutoa huduma zake hapa nchini.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 17

Wakulima Rukwa wanolewa
Posted Wed, May,14 2008
Source Alasiri
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeanza mpango kabambe wa kutoa mafunzo kwa wakulima ili kuwaondoa katika kilimo kisicholeta tija.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 17

Membe aelezea umuhimu wa mkutano wa Sullivan
Posted Wed, May,14 2008
Source ITV
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimatiafa Mhe. Bernard Membe amesema mkutano wa nane wa Sullivan utatoa fursa za uwekezaji, biashara utalii na utajenga msingi wa ushirikiano wa utalaamu.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 27

Tanzania leo imezindua baraza la nafaka
Posted Wed, May,14 2008
Source ITV
Tanzania leo imezindua rasmi baraza lake la nafaka la afrika mashariki ambalo litakuwa likisaidiana na nchi wanachama wa Afrika Mashariki kuainisha changamoto...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 65

Tanzania kupambana na vikwazo vinavyoshusha bei ya kahawa duniani
Posted Tue, May,13 2008
Source ITV
Tanzania imetakiwa kuhakikisha inapambana ipasavyo kuondoa vikwazo vya kibiashara vinavyochangia kushuka kwa mauzo ya kahawa katika soko la dunia na kuweka mikakati ya kupambana na tatizo hilo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 76

   
Afya
 

Asilimia 98 ya dawa hazithibitishwi ubora wake kabla ya kuingia sokoni
Posted Wed, March,19 2008
Source ITV
Asilimia 98 ya dawa zinazotakiwa kuthibitishwa ubora wake kabla ya kuingia sokoni zimebainika kuwa na kemikali hatari za sumu zinazochangia kusababisha madhara makubwa kiafya.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 13

Walaji nguruwe watahadharishwa Dar
Posted Thu, February,28 2008
Source Nipashe
Mkoa wa Dar es Salaam, umewatahadharisha wananchi dhidi ya ulaji wa nyama ya `kitimoto` kutokana na kuibuka kwa homa ya nguruwe.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 1

Hubert Kairuki inaendelea na zoezi la kupima kansa ya shingo ya uzazi
Posted Fri, February,08 2008
Source ITV
Taasisi ya afya na tiba ya Hubert Kairuki ya Mikocheni jijini Dar es Salaam imeendesha zoezi la kupima kansa ya shingo ya uzazi kwa kina na bila malipo kama sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka tisa ya kifo cha...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 15

 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.