|
Wanaowafungia watoto walemavu washitakiwe
Posted Sun, May,11 2008
Source Radio One
Watu wenye ulemavu mkoani Rukwa wameiomba serikali kuwachukulia hatua za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwafungia ndani watoto wenye ulemavu kwa kuhofia kuchekwa.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 30
TASAF watumia shilingi milioni 9.5 Kisarawe
Posted Sun, May,11 2008
Source Radio One
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii -TASAF, wilayani Kisarawe, umetumia shilingi milioni 9.5 kusaidia mradi wa kilimo cha ufuta na karanga, kwa vikundi viwili vya wazee katika tarafa ya Mzenga wilayani humo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 39
Daraja la Kiteputepu limeanza kuharibika
Posted Sun, May,11 2008
Source Radio One
Daraja la Kiteputepu linalounganisha wilaya za Sumbawanga na Mbozi limeanza kuharibika, hivyo kuzusha wasiwasi kwa watumiaji na kuzorotesha usafirishaji wa mazao kutoka mashambani na mifugo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 7
Rukwa wapongeza mpango wa shamba darasa
Posted Sun, May,11 2008
Source Radio One
Baadhi ya wakulima mkoani Rukwa wameupongeza mpango wa mafunzo ya shamba darasa ambao wamesema utawawezesha kuacha kilimo duni kisichokuwa na tija cha maeneo makubwa na kuchangia uharibifu mkubwa wa mazingira.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 19
Wanaouza mafuta ya petroli na dizeli kinyume cha sheria kusakwa Z`bar
Posted Sun, May,11 2008
Source Radio One
Bodi ya Mapato Zanzibar-ZRB kwa kushirikiana na jeshi la polisi katika mkoa wa Mjini na Magharibi imeanzisha operesheni maalum kuwasaka wauzaji wa mafuta ya petroli na dizeli kinyume cha sheria katika manispaa ya Zanzibar.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 33
Rais Museven na Joseph Kabila kutua Dar leo
Posted Sun, May,11 2008
Source ITV
Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais Joseph Kabange Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo watawasili Dar es Salaam leo kwa mwaliko wa rais Jakaya Kikwete.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 9
Wadau wa mawasiliano kuathimisha siku yao May 17
Posted Sun, May,11 2008
Source ITV
Wadau wa mawasiliano wa hapa nchini May 17 mwaka huu wanaungana na wenzao dunani kote kuadhimisha siku ya teknolojia ya habari na mawasiliano huku nchi ikikabiliwa...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 12
Jeshi la polisi linahitaji msaada kupambana na ajali za barabarani
Posted Sun, May,11 2008
Source ITV
Jeshi la polisi limesema lipo tayari kushirikiana na taasisi yeyote ya umma na binafsi katika juhudi za kukabiliana na majanga ya ajali za barabarani...
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 45
Wafanyakazi wa serikali wametakiwa kuthamini na kuheshimu nafasi zao
Posted Sun, May,11 2008
Source ITV
Makamu wa rais Dr. Ali Mohamed Shein amewakumbusha wafanyakazi wa serikali kujenga utamaduni wa kuthamini na kuheshimu nafasi za kazi wanazopewa na taifa kwa kutekeleza wajibu na majukumu yao ipasavyo.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 98
Vijana wametakiwa kuiga mfano wa viongozi wa dini
Posted Sun, May,11 2008
Source ITV
Spika wa bunge la Jamhuri amewashauri vijana nchini kuiga mfano wa viongozi wao wa dini ilikuondoa tabaka za kijamii na kuimarisha amani, umoja na mshikamano uliopo mingoni mwa watanzania.
» Habari Zaidi
»Habari Zinazohusiana 65
|