BIASHARA »

20Feb 2017
Nathan Mtega
Nipashe

WALIMU viongozi wa Chama cha Kuweka na Kukopa (Saccos) ya Walimu Mbinga mkoani Ruvuma, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha zaidi ya Sh. milioni 500 za chama hicho.