BIASHARA »

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi.

19Oct 2017
Christina Mwakangale
Nipashe

WANAWAKE wajasiriamali na wauzaji wa bidhaa kwenye mipaka iliyopo kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ni waathiriwa wakubwa wa changamoto ya rushwa ya ngono, imeelezwa.