BIASHARA »

Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marie Kaarstad.

23Mar 2017
Nipashe

ZAIDI ya Sh. bilioni 80 (sawa na Dola milioni 30) zimewekezwa katika Bandari ya Dar es Salaam kitengo cha kupakua na kupakia mbolea kwa lengo la kuendeleza kilimo nchini.