SAFU »

18Oct 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKITEMBEA sehemu mbalimbali za Dar es Salaam kuanzia Kinondoni mpaka Kibamba utakabiliwa na tatizo la kuruka maji yanayotiririka ovyo njia nzima, kila unapopita.

17Oct 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

RIPOTI iliyotolewa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) imesema kuwa kufua nguo, kuchota maji, kulea watoto wenzao na hata kulea wazee, ni majukumu ambayo yanawakabili watoto walioajiriwa majumbani...

17Oct 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HABARI kwamba wanafunzi wawili kutoka Shule ya Sekondari ya St. Judes iliyoko jijini Arusha wameshinda kwenye Mashindano ya Kimataifa la Maonyesho ya Sayansi katika Kundi la Teknolojia, ni za...

17Oct 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘YUMKINI’ pia ‘yamkini’ ni huenda ikawa; yawezekana, penginepo. Pia ni tamko linaloeleza hali ya kuwezekana. Aidha ni tawi la hisabati linalohusu uwezekano wa tukio kutokea.

16Oct 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

Kwa mechi sita ilizocheza, imevuna pointi mbili tu. Ndiyo timu inayoshikilia mkia kwa sasa. Sina kumbukumbu kwa mara ya mwisho Kagera Sugar kushika nafasi ya mwisho hata kwa muda tu.

16Oct 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TULICHOTAKA hatukukipata. Timu yetu ya Tanzania, Taifa Stars wiki moja iliyopita ilitoka sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Malawi.

15Oct 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

VIJANA ni kundi lenye idadi kubwa ya watu nchini, wakikadiriwa kuwa ni zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wote, kwa takwimu za sensa ya watu na makazi ya 2012.

15Oct 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MOJA ya chanzo cha mapato cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya mipaka ni Ubungo, ambacho huingiza magari na watu kwa muda wote wa saa 24...

15Oct 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo nikushirikishe jambo ambalo watu wengi hawajawahi kujiuliza kujua siri iliyofichika ndani yake. Mikono yetu inayo siri ya ajabu sana tusiyoifahamu.

15Oct 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

TATIZO la mimba za utotoni hasa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, limekuwa changamoto kubwa inayotishia hatma ya mabinti kwa vile inakatisha ndoto zao kitaaluma.

14Oct 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HAKUNA ubishi kuwa Simba na Yanga ndizo kongwe nchini na kwa sababu hiyo ndizo zenye wanachama na mashabiki wengi zaidi nchini.

14Oct 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BABA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ‘ Mchonga’, shikamoo tumekumisi watoto wako.

13Oct 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), iliungana na wadau wote duniani katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani, ikitoa wito kwa jamii ya Watanzania, kuondoa vitendo vyote...

Pages