SAFU »

11Sep 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NILISOMA kitabu kimoja cha riwaya zamani sana. Sikikumbuki jina, ila kilikuwa na kisa cha wakazi wa eneo moja Kigamboni kuogopa kupita au kukatisha kwenye nyumba moja isiyokaliwa na mtu yeyote....

11Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITENDO cha Shirikisho la soka Tanzania kupitia kwa bodi ya Ligi Kuu kuiruhusu Azam FC kuutumia uwanja wake wa Azam Complex kwa michezo inayozihusisha klabu za Simba na Yanga, kuna kitu cha...

10Sep 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, bado niko kwenye anga la mahusiano kwa vijana wetu. Wapo wanaolilia kuingia kwenye ndoa na wapo ambao tayari wameingia lakini wanatamani kutoka.

10Sep 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

CHANGAMOTO ya mimba za utotoni hasa kwa wanafunzi wa kike imekuwa kikwazo kikubwa cha wasichana kupata haki yao ya elimu kutokana na kukatisha masomo.

10Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

VITUO vya ukaguzi na mizani kwenye barabara kuu na maeneo ya mpakani mara nyingi yana foleni kubwa itokanayo na magari ya mizigo kusubiri taratibu ili kukamilisha mchakato huo.

09Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘UMBEA’ ni tabia ya kutoa habari bila ya kutumwa au kuulizwa; udaku, udakuzi; tabia ya kufuatilia au kusikiliza habari za watu wengine bila kutumwa.

09Sep 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

HIVI kama taifa imetokea kupasua vichwa na kujiuliza ni nini hasa chanzo cha tatizo la ujauzito kwa wanafunzi?

08Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAPIGADEBE kuendelea kung’ang’ania vituoni ndicho kinachowafanya wengi kuhisi kuwa huenda ilikuwa ni nguvu ya soda kutangaza kuwa wangeondolewa ili kumaliza kero zisizo na sababu vituoni.

07Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale inapohusisha maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

07Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA msemo wa wahenga kuwa elimu haina mwisho, hivyo hata kama unajiona umeelimika bado una wajibu wa kujifunza kwa wale walio na mafanikio zaidi.

06Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UPITAPO katika vituo vikubwa vya daladala nyakati za asubuhi, mchana ama jioni utawaona watoto wakirandaranda na kutokuwa na kazi yoyote wanayoifanya.

05Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MIGOGORO ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima ni moja ya changamoto kubwa ambayo imeikabili nchi kwa muda sasa kutokana na jinsi ambavyo imekuwa ikiibuka kila mara huku na kule na kusababisha...

05Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MOJA ya magazeti ya michezo yanayochapishwa humu nchini, liliandika kwa herufi kubwa, nyeusi ti: “TUNALIAMSHA DUDE UPYA.”

Pages