SAFU »

29Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

VITENDO vya rushwa, ufisadi na kila aina ya uozo serikalini na ndani ya CCM ni miongoni mwa vitendo ambavyo Rais wa sasa John Magufuli aliahidi kupambana navyo alipokua akijinadi kwa Watanzania...

29Dec 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya misemo maarufu nchini ya kuitafadhalisha jamii na raia kwa ujumla wake ni msemo uliwahi kutolewa na aliyekuwa rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi.

29Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘ZALI la Mwanaspoti lampagawisha mshindi’ ni kichwa cha habari kwenye gazeti hilo la michezo. Habari chini ya kichwa hicho iliandikwa:

27Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

ZAO la mkonge lilipata umaarufu miaka ya 1970, kwa kutoa ajira kwa wingi, kuchangia pato la taifa na fedha za kigeni, pia kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

27Dec 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMAMOSI ya mwisho ya kila mwezi, ilitangazwa na serikali kuwa siku maalum ya usafi nchini.

26Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

MOJAWAPO ya kazi zilizo na umuhimu mkubwa kwa usalama wa maisha ya watu na mali zao ni ya ulinzi.

26Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAKWIMU za matukio ya uhalifu wa ubakaji na unajisi zilizotolewa na Jeshi la Polisi nchini, zinaonyesha kuwa yameongezeka kutoka 6,935 mwaka 2016 hadi 7,460 mwaka huu.

25Dec 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

BAADA ya Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon Jaseph Omog kutimulia, macho na masikio ya wapenzi wengi wa soka nchini yapo kwa kocha mpya atakayekuja kuchukua nafasi yake.

25Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIMBA aendaye taratibu bila ya kujitambulisha ndiye anayeweza kuwagwia (kamata, shika, nasa) wanyama bila shida.

24Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WATAALAM wa makuzi wanasema kuwa mtoto mdogo ana uwezo mkubwa wa kupokea taarifa na kutunza na kukumbuka alichokihifadhi kwa urahisi kuliko hata mtu mzima na hii ni kwa sababu hufikiria wakati...

24Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

UTARATIBU wa sasa uliowekwa katika kituo cha mabasi cha Mwenge, jijini Dar es Salaam, ambacho  kimekuwa maarufu kwa soko la nguo za mitumba na bidhaa mbalimbali, umesaidia watu wenye magari...

24Dec 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, utakumbuka wiki moja iliyopita niliandika hapa habari ya kusikitisha ya mama mmoja aliyejiua kutokana na matatizo yanayodaiwa kutokana na ukewenza.

23Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“WAKIMBIA kufiwako wenda kuliwako nyama. Maana yake unakimbia kunakokufa watu kisha wakazikwa na kwenda wafapo na kuliwa.

Pages