SAFU »

22Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

HISTORIA inaonyesha kwamba katika zama zilizopita kabla ya kuja wakoloni, Waafrika walivaa magome ya miti, wakificha baadhi ya sehemu ya miili yao na inawezekana wengine waliishi pasipo chochote...

22Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MARA nyingi huwa najiuliza kwamba, hili linalotokea ni uzembe wetu au dharau kwa mashuhuda na wengineo? Hapo ninamaanisha kwenye ujenzi mkubwa.

21Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjadala

JUZI usiku nilikuwa katika eneo la Kinondoni Mkwajuni, majira ya saa tano usiku. Wakati nasubiri daladala barabarani, nilishuhudia bajaji moja ikipita barabarani ‘imebana kushoto’ na nyuma yake...

21Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

INASHANGAZA kuona baadhi ya wazazi hawawajali watoto wao, pale wanapokuwa katika vyombo vya usafiri, kwa kushindwa kuwalipia nauli na kusababisha watoto kusafiri, huku wakiwa wamesimama.

20Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA ripoti ya hali ya haki za binadamu kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu, ambayo ilitolewa hivi karibuni na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ilionyesha...

20Dec 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni zimekuja habari njema za kupambana na maradhi hatari ya kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya wanaofunzwa mahsusi kunusa na kugundua maradhi haya kwenye makohozi ya binadamu.

19Dec 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni, Waziri wa Nishati, Dk.  Mernad Kalemani aliliagiza shirika la umeme nchini Tanesco kufikia makubalino haraka na kiwanda  cha kutengeneza nguzo za zege cha East Africa infrastructure...

19Dec 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni zimekuja habari njema za kupambana na maradhi hatari ya kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya wanaofunzwa mahsusi kunusa na kugundua maradhi haya kwenye makohozi ya binadamu.

18Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘LALAMA’ pia ‘lalamika’ ni kitendo cha kutoa maelezo yenye hisia ya kutoridhishwa na jambo. Kitendo cha kutoa sauti ya kuumia. 

18Dec 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TATIZO la mashabiki wengi wa soka nchini, hasa wa klabu za  Simba na Yanga ni kuishi kwa kukariri.
Hivi majuzi, Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf), limetoa rartiba ya Ligi ya Mabingwa na...

17Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MIKOA ya majiji ikiwamo Dar es Salaam na Mwanza inapambwa kwa biashara mbalimbali zinazofanywa na wamachinga zikiwamo kuuza nguo, viatu na vyombo vya nyumbani ambazo wateja wake wengi ni watu wa...

16Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUAMBIANA na kushauriana kupo, lakini hawapo wa kusikiliza!

15Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BADO kuna kilio kikubwa kinachohusiana na uwepo wa mfumo dume katika masoko ya jijini Dar es Salaam, ikiwa ni tatizo la muda mrefu sasa.

Pages