SAFU »

13Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“AKUTENDAE mtende, simche akutendae. Aliyekutendea ubaya wowote, hupaswi kumwogopa; nawe mtende hivyo. Methali hii yatuhimiza  tusichelee kuwalipa ubaya waliotutendea ubaya.

12Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAJUKUMU ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ni kuokoa maisha na mali katika majanga yatokanayo na moto, mafuriko, tetemeko la ardhi, ajali za barabarani pamoja na majanga mengineyo katika jamii. ...

11Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIMEONA nilizungumzie hili la kuwepo baadhi ya vyombo vya usafiri vinavyoandikwa majina yasiyofaa na yenye upotoshaji mkubwa wa maadili. Binafsi nayaita ujumbe mchafu?

10Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

HAKUNA shaka tena kwamba madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabianchi yameanza kujidhihirisha wazi katika maeneo mengi nchini kwa hivi sasa.

10Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUMAMOSI ni uchaguzi katika majimbo ya Longido, Singida Mashariki na Songea Mjini.

10Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

WIKI iliyopita tulianza kuwaletea historia ya Jean-Bedel Bokassa, mmoja wa madikteta wakubwa waliowahi kutokea barani Afrika.

09Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LEO tuangalie makosa yanayotendeka kutafsiri baadhi ya semi na maneno mbalimbali tofauti na maana yake halisi. Ukiuliza, waambiwa “ndio ukuaji wa lugha!”

09Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

WIKI iliyopita Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitangaza kuanza kuwasaka wanufaika 119,497 nchini kote, ambao wamekiuka sheria iliyoanzisha Bodi hiyo kwa kutoanza kurejesha...

09Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JANA, Januari 08, ilikuwa ni siku ambapo shule karibu zote za msingi na sekondari zilifunguliwa rasmi tayari kwa muhula mpya wa masomo kwa mwaka huu wa 2018.

08Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIMBA leo wanacheza mchezo wao muhimu wa hatua ya makundi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar.

07Jan 2018
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, mapema wiki hii amesaini sheria mpya ya Mahakama ya Kadhi, ambayo itawawezesha wanandoa kuwa na mgawanyo sawa wa mali wanapoamua kuachana.

07Jan 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, kabla ya yote, heri ya mwaka mpya 2018.

07Jan 2018
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

HERI kwa mwaka mpya 2018 , tena wakati huu  shule za msingi na za sekondari  zikifunguliwa kuanzia kesho niwatakie watoto mwaka wa mafanikio kitaaluma.

Pages