SAFU »

26Feb 2016
Peter Orwa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU yatoke matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne, mjadala uliotawala ni mambo makubwa yaliyofanywa na binti wa Kichina katika mtihani huo.

25Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI Watanzania wakiona lugha za kigeni kama Kichina, Kiingereza, Kifaransa na Kijerumani ni kigumu kujifunza kwa kusoma kuandika ma kuhesbu, maarufu kama KKK, mwanafunzi raia wa China, Congcong...

25Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mjadala

OFISI za serikali za mitaa ni miongoni mwa sehemu zinazotegemewa katika kuhakikisha ustawi na kulinda maisha ya wananchi katika sehemu husika hata yanafikia hatua ya kuboreka.

24Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMPENI za mwaka jana zilitawaliwa na maneno matamu mengi ambayo nina imani ndiyo yaliyowavutia wapigakura wakaichagua CCM kuongoza nchi hii.

24Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NI dhahiri kwamba hatua ya Rais John Magufuli kuingilia kati mazingira duni ya utendaji na utoaji tiba katika sekta ya afya, imeleta mabadiliko.

24Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Mjadala

MKUU wa nchi ambaye ni Rais John Magufuli ametangaza rasmi kwamba amekuta ndani ya serikali hali ni mbaya 'imeoza' na kila mahali anapogusa pameharibika kwa rushwa.

23Feb 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

HIVI karibuni tumepata taarifa za utafiti uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusiana na kubakwa kwa wasichana na askari wa jeshi la serikali ya Sudani Kusini na baadaye kulazimishwa kuingia kwenye...

23Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

PILIPILI haiwezi kukuwasha kama hujaionja. Hii ni methali iwezayo kutumiwa kwa mtu anayeelekezwa jambo asilolifahamu vizuri kisha akawa m-bishi.

23Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI kupitia Wizara ya afya na Ustawi, Jinsia, Wazee na Watoto, imetambulisha vipimo vipya vya upimaji wa ugonjwa wa malaria kwa haraka vijulikanavyo kama ‘MRDT.’

22Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

WAKATI mechi ya Simba na Yanga ikichezwa kwenye Uwanja wa Taifa, kulikuwa na mechi nyingine zikiendelea kwenye viwanja mbalimbali nchini.

22Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUNI 8-12, mwaka jana, Nipashe ilichapisha ripoti maalum iliyofichua jinsi upangaji matokeo ya mechi za soka unavyofanyika na athari za kadhia hiyo kwa maendeleo ya taifa.

21Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

TANZANIA ina ardhi yenye ukubwa wa hekta milioni 94.5, kwa ajili ya matumizi ya kilimo, ufugaji, makazi, hifadhi na matumizi mengine, lakini bahati mbaya migogoro ya ardhi ni tishio kubwa la amani...

21Feb 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo tuendelee pale tulipoishia wiki iliyopita ambapo niliahidi kuchambua zaidi roho moja inayotesa wanadamu, na ambayo imesababisha matatizo mengi sana. Hii inaitwa Roho ya Unafiki...

Pages