SAFU »

08Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIMBA leo wanacheza mchezo wao muhimu wa hatua ya makundi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar.

07Jan 2018
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, mapema wiki hii amesaini sheria mpya ya Mahakama ya Kadhi, ambayo itawawezesha wanandoa kuwa na mgawanyo sawa wa mali wanapoamua kuachana.

07Jan 2018
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, kabla ya yote, heri ya mwaka mpya 2018.

07Jan 2018
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

HERI kwa mwaka mpya 2018 , tena wakati huu  shule za msingi na za sekondari  zikifunguliwa kuanzia kesho niwatakie watoto mwaka wa mafanikio kitaaluma.

06Jan 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

HAKUNA jamii isiyo na taratibu au misingi ya namna ya kuishi na kufanya shughuli za kila siku.

06Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“CHAMA ni ondoka au acha mahali. Gura ni hama. Maana yake kitu cha anayeondoka huondoka pamoja naye.

05Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MADEREVA kulikoni kupitisha magari katika matuta? Serikali imekuwa ikitumia mabilioni ya fedha kuboresha miundombinu yake lengo, ni kuifanya iwe na mwonekano mzuri na ulio bora.

05Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

BAADA ya likizo ndefu tangu Desemba mwaka jana, wiki ijayo wanafunzi watarudi shuleni kuendelea na masomo, ingawa baadhi yao wataendelea kukumbana na changamoto ya muda mrefu ambayo hadi sasa...

04Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NADHANI nianze na swali, mnaotelekeza watoto kwa wazazi wenu bila ya kutoa misaada mnategemea nini?

03Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SENSA ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 inaonyesha kuwa asilimia 70 ya Watanzania wote ambao idadi yao sasa ni takribani watu milioni 50 wanaishi vijijini, huku asilimia 30 wakiwa mijini.

02Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“MTU anayekataa kwao huwa mtumwa mahali anapoishi. Methali hii yatukumbusha umuhimu wa kuzikumbuka asili zetu au tutokako. Twapaswa kuwaonea fahari wazazi wetu au hata mataifa yetu.

02Jan 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mjadala

MOJAWAPO ya kipaumbele cha Serikali hii ya Awamu ya Tano ni cha Tanzania ya viwanda.

02Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

 

KUWAPO kwa watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani hasa katika miji mikubwa nchini ni changamoto kubwa inayohitaji ufumbuzi wa haraka.

Pages