SAFU »

09Dec 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MAADHIMISHO ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, mwaka huu yanafikia miaka 56, tangu Gavana wa mwisho Edward Twinning alipoikabidhi nchi uongozi wa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika huru , Mwalimu...

09Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMUSI mbalimbali zimetoa maana ya neno ‘huruma’ kwa tafsiri moja lakini kwa maneno tofauti yenye maana ileile.

08Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

HIVI ni kweli sahihi kuuzwa pombe katika vituo vya daladala? Tunajua kinywaji aina ya pombe, kisheria kinauzwa katika maeneo yaliyoruhusiwa rasmi na sio kiholela, kama inavyojitokeza katika vituo...

08Dec 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIKU ya Novemba 24 mwaka huu, Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kilizindua kampeni yake ya siku 16 ya kupinga ukatili nchini.

07Dec 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

TANGU kuingia madarakani Serikali ya Awali ya Tano chini ya Rais, Dk. John Magufuli, kumekuwa kukihimizwa zaidi suala la uchapaji kazi na kuachana na masuala ya uzembe na ulevi.

07Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USAFI wa mazingira katika sehemu ya biashara ni kitu muhimu sana kwa afya ya walaji.

06Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjadala

KATIKA siku za hivi karibuni tumeshuhudia wimbi katika uga wa kisiasa la wanasiasa wakihama vyama vyao, kutoka chama kimoja kwenda kingine.

06Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHAMA cha siasa cha ACT- Wazalendo kimeondokewa na wanachama wake wakiwamo viongozi wa juu hali inayoashiria kwamba huenda kikajikuta katika mazingira magumu iwapo viongozi wake hawatachukua hatua...

05Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LEO naja na maneno yanayotumiwa kinyume kabisa na maana yake. Tabia hii huanzishwa na chombo kimoja cha habari na kesho yake vyombo vyote hufuata mkumbo.

05Dec 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIONGONI mwa vipaumbele ambavyo vimesimamiwa vyema na Rais John Magufuli katika kipindi chake cha miaka hii miwili ni eneo la maadili ya watumishi wa umma.

05Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KWA kawaida msingi wa maisha ya afya ya binadamu ni usafi wake wa mwili na mazingira, hivyo usafi ni dhana shirikishi ikijumuisha kuanzia mtu mmoja mmoja, familia na hata kwingineko.

04Dec 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mjadala

JANA klabu ya Simba ilifanya mkutano wake mkuu wa dharura ukiwa na ajenda kuu moja ya kupokea ripoti ya kamati ya zabuni ya klabu hiyo.

04Dec 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA wakati huwa najiuliza kwa nini Ukanda wa Afrika Mashariki uko nyuma sana kisoka, kuliko kwingine?

Pages