SAFU »

03Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KUFAHAMU matumizi bora ya  barabara na sheria zake si jambo linalowahusu madereva wanaoendesha vyombo vya moto pekee  bali hata  wengine wote wanaotumia barabara hizo. Elimu hiyo itasaidia ...

03Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

ILI nchi iwe na uzalishaji bora pamoja na mambo mengine ni lazima kuwa na umeme wa uhakika.

03Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KAMA ilivyo ada ya Rais John Magufuli, hivi karibuni aliibuka ghafla katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini kuwapo kwa magari madogo 50 ya kubebea wagonjwa yaliyokwama hapo kwa muda mrefu.

02Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

ANAYESIFIKA majini ni samaki aitwaye papa kumbe kuna wengine pia.

02Dec 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KUPEKUA ili kupata taarifa ni hatua inayochukuliwa na mamlaka za usalama  katika  maeneo   mbalimbali   kuanzia kwa mtu binafsi, makazi   ya watu, inawezekana ni  nyumbani, mabwenini, hotelini,...

01Dec 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

LEO dunia inaadhimisha Siku ya Ukimwi, na Tanzania kama sehemu ya dunia pia inaungana na mataifa mengine kuiadhimisha siku hii ambayo huadhimishwa Desemba Mosi ya kila mwaka.

01Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA maisha ni muhimu kupata elimu ya uraia ambayo ni mafunzo yanayotolewa kwa wananchi kwa kuwapa stadi na ufahamu, maadili, maarifa na mwelekeo unaowawezesha kushiriki kwenye masuala ya umma...

30Nov 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKULIMA na hasa wadogo wadogo nchini ni moja ya kundi, linaloonekana kuwa na watetezi wengi.

30Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MAADHIMISHO ya Siku ya Ukimwi Duniani kwa mwaka huu wa 2017 yamewadia huku serikali ikiwataka Watanzania kubadili tabia ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa huo hatari ambao hadi sasa hauna tiba.

29Nov 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

UKISOMA vitabu vitakatifu vimekataza umwagaji damu wa namna yoyote ile.

29Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 1973, serikali ilianza mpango wa kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma, hata hivyo kwa miaka mingi mpango huo ulikuwa unasuasua.

28Nov 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

MOJA ya vipaumbele vya serikali ya Rais John Pombe Magufuli, ni cha kukusanya kodi.

28Nov 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOTAJA CCBRT, ni taasisi iliyopo nchini, inayotoa huduma za afya. Eneo moja walilobobea ni ya kutoa huduma za kuzuia ulemavu, matibabu na utengamao, na kuwawezesha watu wenye ulemavu na familia...

Pages