SAFU »

11Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“HAUCHI hauchi unakucha.” Mtu husema hauchi, hauchi, lakini hatimaye jua hochomoza na usiku ukatoweka.

10Mar 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAENEO mengi na hasa ya mijini ikiwamo jijini la Dar es Salaam, yamekuwa yakikabiliwa na wingi wa takataka za aina mbalimbali zikiwa zimeachwa kando ya barabara, zimezagaa ama zimetupwa hata...

10Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

NI dhahiri unapofanya mabadiliko ya juhudi unazowekeza katika biashara, mwenendo wa biashara nao hubadilika.

09Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIMO nchini kimeajiri Watanzania zaidi ya asilimia 80. Ni miongoni mwa nguzo kuu za uchumi wa nchi kwa ajili ya kuzalisha mazao ya chakula na biashara.

08Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mjadala

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wagombea wote kuanzia kwenye vyama vyao na walioteuliwa kuwa wawakilishi wa majimbo walikuwa wakitoa ahadi lukuki.

08Mar 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWISHONI mwa mwaka 2012 akiwa katika ziara yake ya kichama, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliagiza wanachama wa CCM kuacha kuitana waheshimiwa badala yake watumie...

07Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“KUAMBIZANA kupo, kusikilizana hapana.” Maana yake kuambiana na kushauriana kupo lakini hawapo wa kusikiliza. Hii ni methali ya kutumiwa katika muktadha ambao watu au mtu apewa ushauri lakini...

07Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya Pombe aina ya Viroba, amri ambayo imeanza kutekelezwa tangu Machi Mosi mwaka huu.

07Mar 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

MOJA ya jambo linalojitokeza mara kwa mara ni la wasomi kujiajiri badala ya kulalamika kuwa hakuna ajira. Kwamba wajiajiri wenyewe kwa kutumia elimu yao.

06Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NI ukweli usiopingika kuwa Obrey Chirwa wa Yanga alipata kadi ya njano ya kwanza kimakosa kwenye mechi dhidi ya Ruvu Shooting, Jumatano iliyopita.

06Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HATIMAYE ni miezi miwili tu imebaki kabla ya wawakilishi wetu, Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ hawajaenda nchini Gabon kushiriki kwa mara ya kwanza fainali za...

05Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MOJA ya ujumbe mahususi kwa mwaka 2017 kutoka kwa Nabii TB Joshua ambaye ni Mchungaji mashuhuri anayefanya shughuli zake nchini Nigeria, ni kuwa nchi za Afrika kuungana na kusaidiana, kwa kuwa...

05Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

JAMANI hata kama mnapanda magari yenu na hamtumii mabasi yanayoanzia safari kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam, nauliza hampati ripoti kutoka kwa watendaji kuwa huduma muhimu za...

Pages