SAFU »

21Aug 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“MGEMA akisifiwa, tembo hulitia maji.” Kwa kawaida mgema apewapo sifa kutokana na tembo lake, badala ya kulitengeneza tembo zuri, hulitia maji akaliharibu!

20Aug 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, suala la mahusiano bado ni kizungumkuti kwa vijana wengi. Wapo waliokwisha kuingia kwenye mikataba ya kuoa au kuolewa, wakabaki papokuwa kwa majeruhi ya moyoni na kimwili.

20Aug 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

MOJA ya changamoto kubwa kwa wakulima ni uhakika wa mbolea ya kupandia na kukuzia ambayo kila uchao bei yake inazidi kupaa kutokana na kukosekana kwa bei elekezi kwa bidhaa hiyo.

19Aug 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘FEDHEHA’ ni jambo la aibu; soni, utwezo, izara. ‘Fedheheka’ ni pata aibu baada ya kuvunjiwa heshima; tahayurika, umbuka.

19Aug 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

SIKU zinazidi kuyoyoma, bila walevi kujua kinachoendelea kwenye mazungumzo ya kubana watasha watupe uchache wetu wa makinikia.

18Aug 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI aibu takribani miaka 24, kijiji hakina maji safi na salama na kuwa hali inayolazimisha wanakijiji kununua maji kutoka jijini Dar es Salaam, kila ndoo inauzwa kwa kiasi cha kati ya Shilingi 600...

17Aug 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

ASASI zisizo za Kiserikali (NGOs) zimekuwa na mchango mkubwa katika suala zima la kuchangia maendeleo ya raia na taifa kwa ujumla.

17Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWANZONI mwa mwaka huu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Venerose Mtenga alikaririwa na vyombo vya habari akisema...

16Aug 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya misemo maarufu nchini ya kuitahadhalisha jamii na raia kwa ujumla wake ni msemo uliwahi kutolewa na aliyekuwa rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi.

15Aug 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“CHOMBO hakiendi ikiwa kila mtu anakipigia makasia.” Kasia ni ubao wa kuendeshea chombo cha bahari kama mashua.

15Aug 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AGOST 12 ya kila mwaka ,Tanzania huungana na nchi nyingine kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani ili kutafakari jinsi ya kutatua changamoto zinazolikabili kundi hili.

15Aug 2017
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

UAMUZI wa Rais Dk. John Magufuli kuitaka Wizara ya Fedha kukilipa kiwanda cha kuzalisha viuatilifu cha Kibaha Sh. bilioni 1.3-

14Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

SOKO la filamu Tanzania linaonekana kwenda mrama, kila mmoja akionekana kutoa lawama kwa mwenzake huku pakikosekana mtu wa kutoa suluhisho.

Pages