SAFU »

23Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mjadala

Shirika la Afya Duniani ( WHO) linasema kuwa upungufu wa usafi wa mazingira, ni sababu kuu ya kuenea kwa maradhi duniani kote na kwamba uboreshaji wa mazingira una manufaa makubwa.

22Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA moja ya ziara za mikoani za kuimarisha chama, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, aliwahi kuainisha upungufu katika utendaji wa serikali na kueleza kuwa...

21Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA waraka maalum wa serikali kwa watumishi wa umma kuhusu mavazi gani wanapaswa kuyavaa katika maeneo yao ya kazi. Hata hivyo, bado utekelezaji wake kwa baadhi ya watumishi hasa walimu ni tatizo...

21Jun 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NAPENDA sana kusoma mawazo ya wasomi, kujua wanawaza na kupendekeza nini. Ninawasoma kwa sababu ninaamini kuwa wanachosema sio cha kuropoka tu.

21Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MARA kwa mara hupokea ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa baadhi ya wasomaji wa safu hii wakitaka kujua maana ya maneno mbalimbali ya Kiswahili.

20Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUKIZUNGUMZIA mafanikio ya soka hapa nchini kwa msimu uliomalizika hivi karibuni bila kupepesa macho, Yanga ipo kwenye mafanikio kwa sasa hasa baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu pamoja...

20Jun 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

HAPA kazi tu. Kauli mbiu hii imeasisiwa na Rais wa Tanzania, John Magufuli. Anasisitiza na kuwataka watu kufanya kazi kwa bidii ili kuleta maendeleo.

19Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

NI kawaida unapopanda mabasi yaendayo mikoani kupishana na wafanyabiashara ndogondogo wakiuza bidhaa zao kwenye kichochoro kinachotenganisha upande mmoja wa viti na mwingine.

19Jun 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

WIKI iliyopita tuliangalia jinsi kifua kikuu (TB), kinavyosambaa, sababu za kuwa na TB sugu na ukweli kuwa kila mmoja kutokana na maingiliano na wagonjwa anapata vimelea vya ugonjwa lakini siyo...

19Jun 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, tayari tumeangalia kwa kina vyanzo vya matatizo ya ndoa nyingi. Nilitaja vyanzo vingi kama vile ndoa pasipo kumshirikisha Mungu, ndoa sababu binti kapata mimba bahati mbaya, tendo...

19Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Jicho Pevu

NIKIFUTILIA habari za michezo nchini, nahisi hadi kichwa kinauma.

19Jun 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
MZEE YANGA

“LEO ni siku ya mwerevu kesho mpumbavu.” Maana yake mwerevu anapaswa kuitumia siku ya leo kwa sababu kesho itakuwa siku ya mpumbavu.

18Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UZALENDO ni hali au fikira ya mtu kuwa tayari kufa kwa ajili ya uhuru na usalama wa nchi yake. Hali ya mtu kuipenda nchi yake kwa dhati sana.

Pages