SAFU »

23Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“UCHOCHEZI” ni tabia ya mtu kutia fitina baina ya watu ili wazozane; uchonganishi, chokochoko. ‘Mchochezi’ni mtu anayesababisha au anayeshajiisha watu wagombane.

23Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHERIA ya usalama barabarani inamtaka kila dereva wa bodaboda kuwa na kofia ngumu (helmeti) mbili kwa ajili yake na abiria wake, kwa vile zinasaidia kupunguza kwa asilimia 69 hatari ya wahusika...

22Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUMEKUWA na malalamiko kila kona kwenye mechi za Ligi  Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

22Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HAKUNA ubishi kuwa Emmanuel Okwi raia wa Uganda ni mmoja wa wachezaji muhimu ndani ya kikosi cha Simba.

20Jan 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KAMA kawaida unapoingia katika mkataba au makubaliano kufanya jambo lolote lile kunakuwa na masharti ambayo unapaswa kuyatimiza au kutimiziwa kisheria.

20Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“CHOMBO hakiendi ikiwa kila mtu anajipigia kasia.” Kasia ni ubao wa kuendeshea chombo cha bahari kama mashua.    

19Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na wimbi kubwa la ongezeko la gereji bubu, katika baadhi ya Mitaa nchini. 

18Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya mikoa ikiwamo Dar es Salaam, imekuwa na athari yake.

17Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilishaandika barua kwa vyama vya siasa na asasi za kiraia kuwasilisha mapendekezo kuhusu mabadiliko ya sheria mpya ya vyama vya siasa na kutaka mchakato wake...

17Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHUGHULI kubwa ya kiuchumi kwa Watanzania walio wengi nchini, kimsingi ni kilimo.

16Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UNAPOTAKA mwanao apate elimu nzuri kwa sasa yumkini shule binafsi zitakuwa ni mojawapo ya eneo utakaloliangalia.

16Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

 

‘ARIJOJO’ ni uendaji usio na mwelekeo mwafaka kwa kukosa kuongozwa au kupangiliwa vizuri; enda ovyo. Hali ya kupotea.

15Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2018 imemalizika juzi, visiwani Zanzibar kwa waliokuwa mabingwa watetezi, Azam FC kufanikiwa kutetea ubingwa wao.

Pages