MAONI YA MHARIRI »

15Dec 2017
Nipashe

RELI ni muhimu katika sekta ya usafirishaji. Ni muhimu kwa kuwa inawezesha kusafirisha abiria na bidhaa kwa kiwango kikubwa.

14Dec 2017
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imefanya jambo zuri sana na la msingi, kwa kuandaa na kuendesha mkutano wa maofisa wake kwa...

13Dec 2017
Nipashe

UTEKELEZAJI wa zoezi la kukamata mifugo inayoingizwa kwenye hifadhi, mapori ya akiba na mapori tengefu umekuwa ukizua malalamiko kutoka kwa...

12Dec 2017
Nipashe

AGIZO la Rais John Magufuli la kuitaka Mamlaka ya Huduma za Bandari (TPA) kutoa huduma kwa saa 24 linaelezwa kuwa limesaidia kupunguza mrundikano...

11Dec 2017
Nipashe

WAKATI michuano ya Kombe la Chalenji inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Ikiendelea kushika...

10Dec 2017
Nipashe Jumapili

Rais John Magufuli juzi alisema uendeshaji wa Benki ya Wanawake (TWB) ya jijini Dar es Salaam utarekebishwa ili itoe mikopo kwa kinamama nchi...

09Dec 2017
Nipashe

TIMU ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, haijafanya vizuri katika michezo yake miwili ya mwanzo kwenye michuano ya kombe la Chalenji...

08Dec 2017
Nipashe

NCHI nyingi za Afrika zinachukua hatua mbalimbali kubadilisha uchumi wao kuingia katika uchumi wa kati.

07Dec 2017
Nipashe

UTEKELEZAJI wa awamu ya pili  ya mradi wa mabasi yaendayo haraka utaanza jijini Dar es Salaam mwakani.

06Dec 2017
Nipashe

JITIHADA kadhaa zimekuwa zikifanywa na serikali katika kusimamia sekta ya utalii, ili mapato zaidi yapatikane. 

Pages