MAONI YA MHARIRI »

25Mar 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana kulichapisha habari kuwa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imeanza kupitia upya...

24Mar 2016
Nipashe

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam hatimaye imempata meya wake, baada ya mvutano wa kisiasa uliodumu kwa takribani miezi mitatu. Meya huyo,...

23Mar 2016
Lete Raha

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika, Yanga na Azam, wote wamefanikiwa kuingia Raundi za Pili za michuano hiyo baada ya kuwatoa...

23Mar 2016
Nipashe

UTEKELEZAJI wa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, la kuwataka watu wote wanaomiliki silaha mkoani humo, umeanza.

22Mar 2016
Nipashe

JUZI Zanzibar ilifanya uchaguzi wa marudio wa Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani, ambao ulimpa ushindi wa asilimia 91.4 mgombea wa...

21Mar 2016
Nipashe

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanznia Bara, timu ya Yanga wamefanikiwa kutinga raundi ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada...

20Mar 2016
Nipashe Jumapili

Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Wananchi (JUVI-CUF), juzi iliwataka vijana wa chama hicho visiwani Zanzibar kutekeleza msimamo wao wa kutoshiriki...

19Mar 2016
Nipashe

TANZANIA inajianda kushiriki michuano ya kimataifa ya Olimpiki yatakayofanyika Agosti mwaka huu nchini Brazil.
Michuno hii mikubwa ya...

18Mar 2016
Nipashe

SERIKALI imesema kuwa watu 3,000 wametiwa mbaroni nchini kwa tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.

17Mar 2016
Nipashe

SERIKALI imebainisha kwamba kuna uozo wa watumishi hewa katika halmashauri nyingi nchini, hali ihayosababisha serikali itumia fedha nyingi...

Pages