MAONI YA MHARIRI »

30Oct 2017
Nipashe

MCHEZO wa Simba na Yanga ndio mechi kubwa zaidi ya ligi kuu Tanzania Bara.

29Oct 2017
Nipashe Jumapili

MVUA iliyonyesha katikati ya wiki hii imesababisha athari kubwa kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.

28Oct 2017
Nipashe

HAKUNA ubishi mchezo wa Simba na Yanga ni mchezo wenye upinzani mkubwa na ndio mchezo unaoongoza kwa kuwapa waamuzi presha muda wote wa dakika 90...

27Oct 2017
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema watoza kodi ambao watabainika kutumia mabavu na kutishia sekta binafsi, ikiwamo kutumia...

26Oct 2017
Nipashe

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa siku za karibuni imeonyesha jitihada kuwa katika kushughulikia matukio yanayohusiana na...

25Oct 2017
Nipashe

MSOMI mahiri Prof. Frolens Luoga, ndiye Gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT, akipokea kijiti kutoka kwa Prof. Benno Ndulu.

24Oct 2017
Nipashe

KWA miaka kadhaa yamekuwapo malalamiko mengi ya wananchi maskini kuporwa viwanja vyao na watu wenye jeuri ya fedha.

23Oct 2017
Nipashe

BARAZA la Vyama vya Soka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), tayari limetangaza mashindano ya Chalenji yatafanyika kuanzia mwezi ujao...

22Oct 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA toleo la jana la gazeti hili, kulikuwa na habari inayohusu kashfa ndani ya jeshi la Polisi juu ya ununuzi wa magari 770 ya maji ya...

21Oct 2017
Nipashe

LIGI kuu Tanzania Bara inazidi kupamba moto huku timu zikichuana vikali na kila moja ikitaka kukoleza kasi yake kuelekea ubingwa msimu huu wa...

Pages