MAONI YA MHARIRI »

16Aug 2017
Nipashe

ZIARA ya Rais wa Misri nchini, Abdel Fattah Al Sisi, imeleta neema ya aina yake. Akizungumzia ziara hiyo, Rais John Magufuli alizitaja fursa...

15Aug 2017
Nipashe

KATIKA kuhakikisha kuna uwajibikaji katika utoaji wa huduma za afya kwa wananchi, Serikali inatarajia kutoa mikataba ya uwajibikaji kwa waganga...

14Aug 2017
Nipashe

UCHAGUZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umeshuhudiwa ukifanyika juzi mkoani Dodoma kwa amani na utulivu mkubwa huku washindwa wakikubali...

13Aug 2017
Nipashe Jumapili

BAADA ya vuta nikuvute iliyochukua miezi kadhaa na malumbano ya majukwaani baina ya wanasiasa waliounda kambi mbili zenye ushindani nchini Kenya,...

12Aug 2017
Nipashe

LEO Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linafanya uchaguzi wake mkuu huku aliyekuwa Rais wake, Jamal Malinzi, akiwa rumande kutokana na tuhuma za...

11Aug 2017
Nipashe

WAFANYABIASHA wa wadogo maarufu “Wamachinga” kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kubughudhiwa na kushindwa kujitafutia kipato.

10Aug 2017
Nipashe

KIWANGO kikubwa cha ada katika vyuo vya elimu ya juu nchini kimechangia watu wengi kukwama kusoma kutokana na kukosa uwezo wa kifedha.

09Aug 2017
Nipashe

TANZANIA ni miongoni mwa nchi chache barani Afrika, ambazo zimejiwekea utaratibu wa ukomo wa muda wa uongozi kwa wakuu wa nchi na serikali katika...

08Aug 2017
Nipashe

TANGU mwishoni mwa mwezi uliopita yamefanyika maonyesho ya wakulima maarufu kama Nanenane ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya Siku ya...

07Aug 2017
Nipashe

DIRISHA la usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara limefungwa jana usiku.

Pages