MAONI YA MHARIRI »

03Sep 2016
Nipashe

KWA mara ya kwanza Tanzania inatarajia kuendesha Ligi Kuu ya Wanawake ambayo itaanza kwa kushirikisha klabu 10 kutoka mikoa mbalimbali ya Bara....

02Sep 2016
Nipashe

WAKATI serikali ikisisitiza nidhamu katika ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za umma, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB...

01Sep 2016
Nipashe

MATUKIO ya kuungua kwa mabweni katika shule kadhaa nchini yameendelea kushika kasi, kufuatia taarifa za moto kuteketeza jengo la wavulana katika...

31Aug 2016
Nipashe

SERIKALI imeshauriwa kujitoa kwenye soko la pamoja la forodha la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),kutokana na kupungua kwa mizigo katika Bandari...

30Aug 2016
Nipashe

TAARIFA kwamba Serikali inakusudia kupima na kupanga ardhi yote nchini zinaleta matumaini.

29Aug 2016
Nipashe

WIKI iliyopita wachezaji wa Yanga waligomea mazoezi ya mwisho kujiandaa na machezo wao dhidi ya TP Mazembe wa kombe la shirikisho Afrika kwa kile...

28Aug 2016
Nipashe Jumapili

KUKUTANA kwa mara ya kwanza kwa Rais John Magufuli na aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa...

27Aug 2016
Nipashe

JUMAPILI iliyopita tumeshuhudia wanamichezo waliokuwa wanashiriki Michezo ya Olimpiki jijini Rio de Janeiro , Brazil wakimaliza michuano hiyo kwa...

26Aug 2016
Nipashe

SERIKALI imeonyesha kukerwa na tabia ya uvamizi na uharibifu wa vyanzo vya maji katika maeneo mengi nchini.

25Aug 2016
Nipashe

MATUKIO ya mauaji ya askari polisi yanayofanywa na watu wasiofahamika, yameendelea kushika kasi katika maeneo kadhaa nchini.

Pages