MAONI YA MHARIRI »

27Jul 2017
Nipashe

MOJA ya sekta ambazo serikali ya awamu ya tano inajipambanua kuzipa kipaumbele zikiwa ni jitihada za kuwapatia wananchi huduma muhimu ni afya.

26Jul 2017
Nipashe

KWA muda mrefu yamekuwapo malalamiko mengi kuhusu huduma zisizoridhisha katika hospitali za umma, vutuo vya afya na zahanati.

25Jul 2017
Nipashe

MWITIKIO wa wamiliki wa vituo vya mafuta nchini wa kujitokeza kwa idadi kubwa kununua mashine za kielektroniki (EFDs) ni hatua ya kupongeza.

24Jul 2017
Nipashe

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samata, juzi alikuwa miongoni mwa kikosi cha timu ya KRC Genk ya Ubelgiji kilichoshuka dimbani kuivaa Everton ya...

23Jul 2017
Nipashe Jumapili

RAIS John Magufuli ameonya kuwa serikali itataifisha migodi yote ya dhahabu na kuwapa wawekezaji wazawa iwapo wamiliki wake watachelewa kufanya...

22Jul 2017
Nipashe

TIMU yetu ya soka ya taifa ‘Taifa Stars’ ipo Rwanda na leo inacheza na wenyeji wao hao kwenye mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za...

21Jul 2017
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo zimekuwa zikionekana kuwa kikwazo kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini ni wanasiasa kutokuwa na uvumilivu...

20Jul 2017
Nipashe

ZAO la alizeti limebainishwa na utafiti kuwa ni fursa kwa kuwa linaweza kuwakomboa Watanzania wengi kutoka katika umaskini.

19Jul 2017
Nipashe

SHUGHULI kadhaa za kijamii, zikiwamo zinazohusu ibada na dini kwa ujumla, zimekuwa zikisababisha maafa kwa watu kadhaa.

18Jul 2017
Nipashe

KATIKA utekelezaji wa mpango wa serikali ya awamu ya tano wa Tanzania ya viwanda kuelekea katika uchumi wa kati, zipo taarifa zinazotia moyo za...

Pages