MAONI YA MHARIRI »

17Jul 2017
Nipashe

JUZI kulikuwa na mchezo wa kimataifa wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) kati ya...

16Jul 2017
Nipashe Jumapili

BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta), jana lilitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika Mei hadi Juni, mwaka huu, huku...

15Jul 2017
Nipashe

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF), wiki hii imetoa ratiba kamili ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2017/2018.

14Jul 2017
Nipashe

SERIKALI imeonekana kukosa uvumilivu kwa vituo vya kuuza mafuta nchini, kutokana na ukaidi wao wa kutumia mashine za kielektroniki za kutolea...

13Jul 2017
Nipashe

IMEBAINIKA maji ya Mto Msimbazi yanayotumiwa kwa shughuli mbalimbali na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam siyo salama kwa viumbe hai

12Jul 2017
Nipashe

SERIKALI imeendelea na utaratibu wa kuweka sawa kumbukumbu za watumishi wake katika mfumo, kwa lengo la kuwatambua.

11Jul 2017
Nipashe

HATUA aliyoichukua Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, ya kuwasimamisha viongozi sita wa idara mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi...

10Jul 2017
Nipashe

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', imerejea nchini usiku wa kuamkia jana ikitokea Afrika Kusini kushiriki michuano ya Kombe la...

09Jul 2017
Nipashe Jumapili

SERIKALI juzi ilitangaza neema kwa wananchi kutokana na kushusha bei za dawa muhimu kwa wastani wa asilimia 15 hadi 80, hatua ambayo itawapunguzia...

08Jul 2017
Nipashe

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jana ilikamilisha ushiriki wake kwenye michuano ya kombe Cosafa inayomaliza kesho nchini Afrika...

Pages