MAONI YA MHARIRI »

09Jul 2017
Nipashe Jumapili

SERIKALI juzi ilitangaza neema kwa wananchi kutokana na kushusha bei za dawa muhimu kwa wastani wa asilimia 15 hadi 80, hatua ambayo itawapunguzia...

08Jul 2017
Nipashe

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jana ilikamilisha ushiriki wake kwenye michuano ya kombe Cosafa inayomaliza kesho nchini Afrika...

07Jul 2017
Nipashe

KATIKA mwendelezo wa jitihada za kusimamia rasilimali za nchi kuhakikisha kuwa zinawanufaisha Watanzania, Bunge limeunda Kamati Maalum ya ushauri...

06Jul 2017
Nipashe

SEKTA ya ujenzi nchini inaweza kupata maendeleo kwa wananchi kujenga nyumba bora na zinazokidhi viwango vya mipango miji.

05Jul 2017
Nipashe

SERIKALI imetangaza habari njema kwamba inatarajia kutoa vibali vya ajira 3,535 vya ajira.

04Jul 2017
Nipashe

WADAU kadhaa wamewasilisha maoni yao kuhusu miswada mitatu inayohusu masuala ya rasilimali za nchi.

03Jul 2017
Nipashe

BADO wiki tano kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kupata viongozi wake wapya watakaohudumu kwa...

02Jul 2017
Nipashe Jumapili

MOJA ya kero ambazo zimekuwa zikiwasumbua watumiaji wa simu za mkononi nchini, ni matangazo yanayotolewa na kampuni hizo wakati wa mteja...

01Jul 2017
Nipashe

USAJILI kwa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara bado unaendelea na kwa sasa kila timu ipo kwenye hekaheka ya kusajili wachezaji wanaoona wanafaa...

30Jun 2017
Nipashe

SERIKALI ya awamu ya tano imeendelea kuwahimiza watumishi wake wakiwamo waliomo kwenye vyombo vya dola kuachana na vitendo vyote vya rushwa.

Pages