MAONI YA MHARIRI »

14Nov 2017
Nipashe

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) juzi ilitangaza orodha nyingine yenye wanafunzi 1,775 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata...

13Nov 2017
Nipashe

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jana ilikuwa kibaruani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao, Benin.

12Nov 2017
Nipashe Jumapili

HIVI karibuni ilijitokeza taasisi ijulikanayo kama ‘Tanzania Social Support Foundation’ (TSSF) ambayo ilijitangaza katika vyombo vya habari kwamba...

11Nov 2017
Nipashe

TIMU ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kesho inatarajia kushuka dimbani ugenini kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Benin.

10Nov 2017
Nipashe

IMEBAINIKA kuwa kasi ya kuzaliana miongoni mwa Watanzania kwa sasa iko juu maradufu kulinganisha na ile ya ukuaji wa uchumi. Hali hiyo inaiweka...

09Nov 2017
Nipashe

KUNA taarifa kuwa baadhi ya wakulima wa pamba mkoani Shinyanga wamepata hasara kubwa baada ya kuuziwa dawa feki za kuulia wadudu.

08Nov 2017
Nipashe

SERIKALI imetoa ajira 2,058 za sekta ya afya ambapo watumishi hao watasambazwa katika wilaya mbalimbali nchini, kwa mujibu wa Waziri wa Nchi Ofisi...

07Nov 2017
Nipashe

Hatimaye serikali ilitangaza kuwaongezea mishahara watumishi wa umma nchini na pia kuwapandisha madaraja wale wanaostahili kuanzia mwezi huu.

06Nov 2017
Nipashe

TANZANIA kwa sasa ipo katika nafasi ya 136 ya viwango vya ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka duniani (Fifa).

05Nov 2017
Nipashe Jumapili

KATIKA toleo la jana la gazeti hili kulikuwa na habari juu ya vifo vya wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Sarawe, Bunda mkoani Mara vilivyotokana...

Pages