HABARI »

Meja Jenerali Projest Rwegasira

26Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe

Rais John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.