HABARI »

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Mkewe Mary na Mama Maria Nyerere wakiwapungia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uwanja wa Mwenge kijijini Butiama. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

22Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Raphael Nyanda kutuma timu ya wakaguzi kwenda kufanya ukaguzi maalumu katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya...

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Maji, Mifugo na Kilimo, Daniel; Nsanzugwanko, (katikati) akizunguzma jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Romanus Mwangi’ngo, (kushoto) na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maji, Mifugo na Kilimo, Mhe. Emmanuel Papian.

21Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

KAMATI ya Bunge ya Maji, Mifugo na Kilimo, imeipongeza Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA...

21Jan 2018
Gerald Kitalima
Nipashe Jumapili

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ameaagiza TAKUKURU kumkamata Meneja wa Wakala wa Majengo...

21Jan 2018
Gerald Kitalima
Nipashe Jumapili

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe jana Januari 20, 2018...

20Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

RAIS wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein, ametembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi wa...

20Jan 2018
Renatha Msungu
Nipashe

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewasilisha majina ya viongozi wa halmashauri ambazo...

20Jan 2018
Mary Mosha
Nipashe

WAKAZI wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali  kupitia Wakala wa Barabara...

20Jan 2018
Paul Mabeja
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Bilinith Mahenge ameziagiza wilaya zote katika mkoa huo kujipanga...

20Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe

OFISA Elimu Sekondari katika Wilaya ya Siha, Abdulrahaman Kanji, amesema kufanya vizuri kwa...

Pages