NDANI YA LETE RAHA LEO

Salum Mayanga

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Akizungumza na Lete Raha mwishoni mwa wiki, Mayanga aliyerejea Mtibwa Sugar mwezi uliopita baada ya mwaka mmoja tangu aondoke, alisema...

linah sanga.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa alishapita katika lebo zaidi ya tatu na kushuhudia changamoto zake, hivyo hataki tena kufanya makosa kwa sababu hapendi kuhamahama ndiyo maana anahitaji lebo ambayo atakubaliana nayo kwa...

kundi la Yamoto Band.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akipiga stori na Bongo Fleva, meneja wa kundi hilo, Chambuso alisema kuwa Yamoto wametajwa kuwania tuzo hizo kama kundi bora la muziki kutoka Afrika wakipambana na makundi mengine kutoka Kenya,...

shilole.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Shilole alisema na safu hii juzi kwamba, hana sababu ya kuifagilia kazi hiyo bali anawachia mashabiki wake 'waijaji' ikitoka kwa kuwa shuguli inayofanywa na Man Fongo kwa sasa wengi wanaifahamu huku...

kipre tchetche.

03Aug 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Si mwingine ila ni Kipre Tchecthe, mchezaji wa Azam FC, anayecheza kama winga wa kulia na wakati mwingine straika. Wanachama wa Simba walimiminika kwa wingi kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi,...
03Aug 2016
Mhariri
Lete Raha
Pia alipanga kuifanya Simba kuwa na bajeti ya Sh. bilioni 5.5 kila msimu kwa ajili ya klabu hiyo, ili kuwapiku wapinzani Azam na Yanga. Katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba uliofanyika Jumapili...

MSHAMBULIAJI Ibrahim Ajibu.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mshindi huyo wa tuzo ya Bao Bora la Msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, juzi aliifungia Simba mabao mawili wakati ikiilaza 5-0 dhidi ya Burkina Fasso ya Morogoro katika mchezo wa...

Mrisho Ngassa.

03Aug 2016
Mahmoud Zubeiry
Lete Raha
Free State Stars ilifikia makubaliano ya kuwauzia timu Moroka Swallows ya Johannesburg, lakini Bodi ya Ligi ya PSL inadaiwa kuzuia mpango huo baada ya baadhi ya taratibu kutokamilishwa....

thomas ulimwengu

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ulimwengu, mchezaji wa zamani wa Moro United, aliukosa mchezo uliopita wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Julai 27, mwaka huu wakati TP Mazembe ikishinda 1-0 dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Chaima alisimama kwenye lango la Mbeya City kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar na kudaka kwa umahiri mkubwa, licha ya kuruhusu mabao mawili timu yake...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Genk inahitaji sare yoyote kesho kwenye Uwanja wa Turner's Cross, mjini Cork, Ireland baada ya Alhamisi iliyopita kushinda 1-0 nyumbani. Pamoja na ugumu uliopo mbele yao, Samata alisema: “Lakini...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
MO alitoa hundi hiyo ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, akisema anatimiza ahadi yake ya kusaidia usajili baada ya wanachama kukubali mabadiliko ya kuigeuza klabu kuwa kampuni ya hisa.Aveva...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Waitisha Mkutano wa dharura
Yanga inaitisha mkutano huo siku mbili tu baada ya wapinzani, Simba kuamua kuingia katika mfumo wa kuuza hisa kufuatia mkutano wao wa Jumapili hapo hapo, Bwalo la Maofisa wa Polisi kuridhia uamuzi...

dida

31Jul 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Dida alionyesha ushujaa huo katika dakika ya 10 tu ya mchezo wakati Yanga ikiwa imeshapigwa bao 1-0 kwenye mechi iliyochezwa nchini Ghana. Aliruka na kupangua shuti lililopigwa na Malik Akouwak,...
31Jul 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Ni wazi kuwa kama hilo litapita na Rais huyo wa Kampuni ya Mohamed Enterprises Limited (MeTL) akapewa hisa hizo, Simba inaweza kufuata nyayo za TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
31Jul 2016
Mhariri
Lete Raha
Rais huyo wa Kapuni ya Mohamed Enterprises Limited (MeTL) anataka kununua asilimia 51 ya hisa za klabu kwa Sh. Bilioni 20 na baada ya hapo atatumia bajeti ya Sh. Bilioni 5.5 kwa msimu kwa ajili ya...
31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ajibu ambaye mashabiki wake wanamuita ‘Kadabra’ alidhihirisha hayo juzi jioni wakati Simba ikiendeleza wimbi la ushindi katika mechi za kujipima nguvu baada ya jana kuifunga Moro Kids mabao 2-0...

Ame Ali ‘Zungu’,.

31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Wazanzibari hao wanajiunga na Wekundu wa Msimbazi kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu kutoka Azam FC na wanatarajiwa kutambulishwa katika Simba Day Agosti 8, mwaka huu Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha juzi kwa njia ya simu, Samata alisema walipata ushindi mwembamba wiki hii na mchezo kwa ujumla ulikuwa mgumu na anatarajia hata mchezo wa marudiano Agosti 4, mwaka huu kwenye...

KIUNGO Deus Kaseke.

31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Kaseke alikosekana katika kikosi cha Yanga katika mechi zote dhidi ya Medeama ya Ghana kwenye kinyang'anyiro cha Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika, wakitoa sare ya 1-1 nyumbani Dar es Salaam na...

Pages