NDANI YA LETE RAHA LEO

Mbrazili Andrey Coutinho.

20Jan 2016
Lete Raha
Coutinho ambaye pia ni nahodha wa klabu hiyo ya Malaysia alisema, “Ningependa kurejea Tanzania, hasa kwenye klabu za Simba au Yanga na hii inatokana na jinsi mashabiki wa timu hizo walivyo....
20Jan 2016
Lete Raha
Akizungumza na Lete RAHA, Mzozo alisema wamejipanga kuwashangaza wapenzi wa soka wa jiji la Dar es Salaam kwa kuing'oa Yanga kwenye michuano hiyo inayotoa mwakilishi wa nchi katika Kombe la...

Justice Majabvi

20Jan 2016
Lete Raha
Amemtaja mchezaji huyo kuwa ni wa Ibrahim Ajibu na amedai kuwa iwapo nyota huyo atakuwa tayari kujituma anaweza kupata mafanikio zaidi ya Samatta ambaye kwasasa ndiye mshindi wa tuzo ya mwanasoka...

Wachezji wa timu ya Arsenal

13Jan 2016
Lete Raha
Klabu hiyo ya Bundesliga iliipiku Arsenal na kukaa kileleni mwa kundi lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya katika misimu ya 2013-14 na 014-15, ingawa kikosi cha Arsene Wenger kiliwapiku katika msimu wa 2011...
13Jan 2016
Lete Raha
Kwa kuwa ni mara ya tano, inawezekana kwamba ameshaizoea mno na si kitu kigeni tena kwake kuweza kuwa 'dili' kubwa sana kwenye klabu yake ya Barcelona, ama nchini mwao Argentina. Lakini bado nyota...
13Jan 2016
Lete Raha
Kama ilivyokuwa wakati wa kuanzana, kumaliza pia huambatana na ishara ambazo ukiwa na weledi wa kuzitafakari unabaini kwamba mambo yameshaharibika. Wengi hufanya 'ubabe' tu kujiaminisha kuwa wangali...

SHILOLE

13Jan 2016
Lete Raha
Amesema kuwa mwaka huu ameamua kubadilika na kufanya mambo kiutu uzima na ndiyo maana akaachana na Mziwanda na kupata mchumba mwingine msanii, Eddy Kenzo wa Uganda, ambaye huenda wakafunga naye ndoa...

Lionel Messi

13Jan 2016
Lete Raha
Hapakuwa na mchezaji aliyewahi kutwaa tuzo nne za Ballons d'Or kabla ya Messi, achilia mbali tuzo tano. Lakini akiwa na umri wa miaka 28 tu, nyota huyo wa Barcelona alitwaa tuzo yake ya tano mjini...

Baadhi ya wachezaji wa Arsenal

13Jan 2016
Lete Raha
Kikosi cha Arsene Wenger, kinachowania kuwa timu ya kwanza kutwaa kombe hilo mara tatu mfululizo tangu Blackburn Rovers katika karne ya 19, watakuwa na hofu ndogo ya kushangazwa katika mechi yao....

Timu ya Mtibwa Sugar

13Jan 2016
Lete Raha
Itakuwa ni fainali ya tano kwa Mtibwa katika michuano hiyo inayofanyika kwa mara ya 10 na licha ya kulitwaa taji hilo mara moja tu 2010, Mexime anaamini mara hii bahati iko kwao. "Tutahakikisha...

Mbwana Samatta

13Jan 2016
Lete Raha
Mshindi huyo wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani ya bara hili, alikuwa ndiyo kete ya bahati ya Simba na African Lyon kwani katika kila mechi ambayo alifunga bao, klabu...

Kocha wa Simba, Dylan Kerr

13Jan 2016
Lete Raha
Asema ni aibu kufukuzwa kisa Mapinduzi Cup, Mayanja aanza kazi
Uongozi wa Simba jana ulitangaza kumtimua kazi kocha huyo, siku moja tu baada ya kutolewa katika nusu-fainali ya Kombe la Mapinduzi. Majira ya saa 3:12 za asubuhi jana, Lete RAHA ilitinga kwenye...

Pages