NDANI YA LETE RAHA LEO

31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Klabu ya Azam, imefanikiwa kunasa saini ya winga huyo ambaye tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo. Kinda huyo anatua baada ya kulivutia benchi la ufundi la Azam FC chini...

kocha mkuu wa taifa stars, boniface mkwasa.

31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Klabu ambazo zinaongoza kutoa nyota wengi kwenye kikosi cha Mkwasa ni Simba SC, Young Africans SC, Azam FC na Mtibwa Sugar FC. Kutokana na hatua hiyo, sasa Mkwasa atakuwa anafuatilia mwenendo wa...
31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Yanga ilisajili wachezaji watano wapya kabla ya kuanza kwa hatua ya makudi, ambao ni kipa Benno Kakolanya kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya, mabeki Hassan Kessy kutoka Simba, Andrew Vincent ‘Dante’ (...

Kipre Tchetche.

31Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Hata hivyo, Dewji atafanya hivyo iwapo tu, Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba, leo utaidhinisha yeye auziwe asilimia 51 ya hisa za klabu. “Wabadilishe katiba tusaini mkataba, baada ya hapo kuna...
27Jul 2016
Lete Raha
Waziri ambaye alikuwa mwiba kwa Simba msimu uliopita alikuwa akihusishwa na kujiunga na klabu ya Yanga lakini mpango huo haukwenda sawa na kulazimika kuendelea na kikosi hiko cha ‘Wanakishamapanda...

KOCHA Mfaransa wa Stand United Patrick Kiewig.

27Jul 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kocha huyo aliyasema hayo wakati alipokuwa akijiandaa kuipeleka timu yake mkoani Mbeya kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi Kuu msimu ujao. Kocha huyo alisema tunaweza kufanikiwa msimu...

kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio.

27Jul 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Julio alisema kuwa msimu uliopita aliiwezesha timu yake kufika nusu fainali ya FA na pia kumaliza kwenye nafasi ya sita kwenye ligi ikiwa ni msimu wake wa kwanza tangu ilipopanda Ligi Kuu....

WINGA wa Yanga, Simon Msuva

27Jul 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mshambuliaji huyo alisema kuwa ni mapema, lakini kwa umoja uliopo ndani ya kikosi anaamini kuwa ubingwa utabaki jangwani. Alisema, "Kwanini tusichukue ubingwa tena? "Tuna kikosi bora na tuna umoja...

Snura Mushi

24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa tangu apate umaarufu ameandika habari nyingi za uongo na kusababisha aumie sana moyoni na kujiuliza amewakosea nini ambao wamekuwa wakimfuatafuata. "Sipendi kuandikwa habari za uongo...

Ruby

24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa kabla ya kujulikana kwenye muziki aliwahi kucheza soka katika timu ya Young Twiga Stars lakini baadaye akajikuta amezama moja kwa moja katika upande huu alipo sasa. "Ninapenda mchezo...

Nay wa Mitego

24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa anaendelea kuwasiliana na wanasheria wake ili kuangalia uwezakano wa kuchukua hatua zaidi ambazo zitaufanya wimbo huo ufunguliwe na kuanza kusikika kama kawaida. Alisema kuwa...

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi

24Jul 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kuna mambo mazuri kadhaa yanayohusu soka la Tanzania yaliyofanyika katika kipindi hiki cha miezi 32 na siku 29 cha uongozi wa Malinzi, lakini mipango na maamuzi mengi yaliyofanywa na utawalawa rais...
24Jul 2016
Mhariri
Lete Raha
Mkwasa maarufu kama Master, amesema lengo la kambi hiyo itakayoanza Agosti 1, 2016 ni kuwaweka sawa kisaikolojia wachezaji kabla ya kuita kambi nyingine rasmi wiki ya mwisho ya Agosti kujiandaa na...
24Jul 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Katika shindano hilo lililodhaminiwa na gazeti hili, Grace aliwashinda warembo wengine 14 na kuvikwa taji la urembo huo kwa mwaka huu na aliyekuwa mrembo wa Tabata 2015, Ambasia Mallya. Mariam...

Ame Ali ‘Zungu’.

24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ame Ali amebakiza mwaka mmoja katika Mkataba wake Azam FC, lakini Simba SC imepeleka ofa ya kumchukua baada ya mazungumzo ya awali na uongozi wa timu ya Chamazi. Chanzo cha habari kutoka Simba SC...
24Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Bossou ambaye anatumikia adhabu ya kadi mbili za njano ni kati ya wachezaji watatu waliobaki Dar es Salaam, wengine wakiwa ni viungo Geoffrey Mwashiuya na Deus Kaseke ambao ni majeruhi. Lakini...

Elizabeth Michael ‘Lulu’

19Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa jina lake kwenye uigizaji limeshakuwa kubwa, hivyo ni muhimu awe makini na kazi anazoshirikishwa ili asijikute anashindwa kufikia malengo aliyojiwekea ya kuwa msanii wa kimataifa. "...
19Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ombi hilo limetolewa na msanii nyota, Hisany Muya ‘Tino’, alipokuwa akizungumza jinsi anavyoliona soko la filamu jinsi lilivyo kwa sasa na hatima yake. Alisema kuwa filamu za nje zinaua soko la...
19Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Naanza kujiuliza kama tena kuna Mtanzania anaweza kujiuliza kwa nini soka letu na hata michezo kwa ujumla haipigi hatua. Kwa nilichokuwa nakisikia, hata haihitaji elimu ya shule ya msingi kugundua...
19Jun 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
Hii ni methali inayotufunza tusiwe na tabia ya kuahirisha mambo ambayo tunaweza kufanya sasa hadi wakati mwingine. Yatuhimiza tusifanye ajizi katika utendaji wetu. Kwa maana nyingine,...

Pages