NDANI YA LETE RAHA LEO

23Mar 2016
Mhariri
Lete Raha
Yanga walianza kuwatoa APR ya Rwanda katika Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi baada ya sare ya 1-1 wakitoka kushinda 2-1 ugenini mjini Kigali wiki iliyotangulia na Azam FC wakafuatia Jumapili kwa...

Mbwana Samatta na Tomas ulimwengu wakishangilia moja ya goli katika mchezo wao.

23Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Samatta, mshambuliaji wa klabu ya Genk ya Ubelgiji, anatarajia kuanza kwenye mchezo leo utakaopigwa majira ya saa 11:30 kwa saa za Tanzania kwenye Uwanja wa Idriss Mahamat Ouya jijini N’Djamena....

Abdi Banda.

23Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Lakini taarifa za ndani zinaonyesha kuwa beki huyo "amewatumbuka nyongo" Simba tangu alipotolewa kwa kadi nyekundu kwenye mechi ambayo Yanga iliishinda Simba 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

kikosi cha yanga.

23Mar 2016
Lete Raha
Habari za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara walitumia saa mbili na dakika 10 (dakika 130) kujadili jinsi watakavyoifunga Al Ahly kwenye hatua ya raundi ya pili ya...
16Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani, Hassan Othman 'Hassanoo' alisema kwamba wamekutaka na kupanga mikakati mbalimbali ya kuhakikisha timu hiyo inafanya...

Jamal Malinzi

16Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza katika hotuba yake mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu, Rais wa TFF, Jamal Malinzi, alisema kuwa lengo la 'kuwabana' makocha hao ni kutaka kuona klabu za ligi kuu zinaongozwa na makocha...

Nadir Haroub Canavaro

16Mar 2016
Lete Raha
Akizungumza na gazeti hili jana, Canavaro alisema kurejea katika kikosi chake, kutatokana na taarifa ya madaktari kutoka India ambao wanaendelea kumpa mazoezi na matibabu katika kliniki ya Nandal...
16Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Kauli ya Mayanja imekuja baada kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0, dhidi ya Prisons ya Mbeya, katika mchezo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa taifa uliopo jijini Dar es Salaam....
16Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Utafiti uliofanywa na kampuni ya Rosty Entertainment ya jijini Kigali, inaonyeha kuwa Kiba ndiye msanii ambaye nyimbo zake zinapigwa zaidi kuliko wasanii wengine. Afisa Masoko wa kampuni hiyo,...
16Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Straika huyo wa zamani wa Platinum FC ya Zimbabwe alisema, “ Ninaona vizuri, tena jicho linalotoa machozi linaona vizuri zaidi lakini siko tayari kufanyiwa upasuaji kwa sasa kwani ninahofia...

EMMANUEL OKWI

16Mar 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Hatua hiyo inafuatia Simba kuona wanaendelea kuzungushwa juu ya malipo yao ya mauzo ya Okwi, licha ya agizo la Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutaka walipwe haraka. Simba ilimuuza Okwi...
16Mar 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Mara ya mwisho Yanga walicheza Ligi Kuu Machi 8, wakiwafunga 5-0 ndugu zao African Sports ya Tanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na watakuwa na mechi ya ligi hiyo tena Aprili 2, dhidi ya Kagera...

Waandishi wa Habari wakifanya mahojiano na Kiongozi wa Timu ya Toto Africans ya Mwanza, John Tegete.

09Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Tegete ambaye ni baba mzazi wa straika wa Mwadui, Jerry Tegete alisema, “ Kuwa kwenye nafasi ya tisa si salama kwani tunatofauti ya pointi 23 ambazo ni saba zaidi ya zile za wale wanaoshika mkia...

Donald Ngoma.

09Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
“ Tunahitaji kushinda mechi tano zijazo tena kwa mabao mengi kabla ya kumalizia nyingine ambazo zitakuwa na ugumu wa kipekee. Ngoma aliyetokea Platinum FC ya Zimbabwe alisema,” Kuna ushindani...

Jean - Baptist Mugiraneza ‘Migi"

09Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kiungo huyo wa zamani wa Kiyovu SC na APR (zote za Rwanda) alisema, “Yanga itapata ugumu kuifunga APR kama wataenda kwa akili ya kucheza mpira wenye utulivu. Wanachotakiwa kukifanya ni kucheza nguvu...

Simon Msuva akijaribu kufunga goli.

09Mar 2016
Bakari Kagoma
Lete Raha
Mfungaji huyo bora wa Ligi Kuu msimu uliopita, amesema kwamba katika maisha ya soka kuna kupanda na kushuka, jambo ambalo mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuliheshimu. Kauli hiyo inakuja siku...

Mombeki na mabeki wa Mbeya City.

09Mar 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Haikuwa kazi rahisi Simba kuvunja mwiko huo. Ilibidi ipigane kwa saa moja na robo, ndipo ilipofanikiwa kupata bao lake la kwanza likiwekwa wavuni na straika Danny Lyanga dakika ya 75. Bado haikuwa...

Abdul Juma wa Yanga akipiga mpira huku beki wa Prisons akijaribu kumzuia.

09Mar 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Kiki hiyo aliipiga mita zilizopungua 25 baada ya shambulizi kali na mpira ukaokolewa kizembe na mabeki wa Azam, kabla ya kukutana na beki huyo, akautendea haki. Dakika kadhaa kabla ya goli hilo...

Shomari Kapombe akiwania mpira na beki wa Malaika, Yengo Son Ngum.

09Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kapombe ambaye ni mchezaji wa zamani wa Simba na Polisi Moro, amekuwa na msimu wa kipekee huku akifunga mabao mengi kuliko misimu mingine minne aliyocheza ligi hiyo ya juu zaidi Tanzania Bara....

Hassan Kessy.

09Mar 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Meneja wa beki huyo, Athumani Tippo ‘Zizou’, alisema, “Kwasasa niko Dubai, kwaajili ya shughuli zangu binafsi, lakini kiufupi tulifanya mazungumzo na klabu ya Simba na kuafikiana kuwa Kessy...

Pages